• Breaking News

    Tuesday, 9 August 2016

    JIFUNZE KUTENGENEZA TOVUTI AU 'WEBSITE' BILA KUJUA 'CODE' AU LUGHA YA 'COMPUTER'

    Tumejaribu kutumia lugha inayokaribiana na kiswahili 'KISWANGLISH' ili kuleta ufahamu wa rahisi hasa kwa watu wa kawaida kabisa na wanafunzi wanaotaka kuufahamu ulimwengu wa teknolojia.
    *Tunaomba Radhi kwa matatizo ya kimatamshi kwenye baadhi ya maneno.

    UTAJIFUNZA:-
    1. Nini maana ya tovuti
    2.Njia ipo inayopendwa kutengeneza tovuti
    3. Namna ya kuifanya 'computer' yako iwe 'server' au iweze kuendesha website kwa kutumia XAMPP.
    4. Namna ya 'kuinstall' WordPress




    Tunakaribisha Maoni.
    Asante!

    No comments:

    Post a Comment