• Breaking News

    Thursday, 6 October 2016

    WANANCHI WAHAMASISHWA KUSHIRIKI KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU MKOANI SIMIYU

    anto
    Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony J. Mtaka akizungumza na waandishi wa habari juu ya Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru, Kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa na Maadhimisho ya Wiki ya Vijana Oktoba 14 mwaka 2016,  yatakayofanyika mkoani humo.
    Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony J. Mtaka akizungumza na waandishi wa habari juu
    ya Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru, Kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa na
    Maadhimisho ya Wiki ya Vijana Oktoba 14 mwaka 2016,  yatakayofanyika mkoani humo. 
     
    Baadhi ya vijana wa Wilaya ya Maswa wakiwa katika zoezi la uzalishaji chaki katika
    kiwanda cha kutengeneza chaki kilichopo wilayani humo ambacho kinazalisha chaki
    zinazotambulika sokoni kama Mzinazotumika mkoani Simiyu.
    Baadhi ya vijana wa Wilaya ya Meatu wakielekezwa namna ya kupima maziwa na kutambua
    maziwa bora yasiyo na maji, katika kiwanda chao cha uzalishaji wa maziwa yanayotambulika sokoni kama ‘MEATU MILK’

    No comments:

    Post a Comment