Meneja Masoko wa TBL Group Fimbo Butalla (katikati ) akikabidhiwa stika ya gari lake na mkaguzi wa magari toka makao makuu ya Jeshi la Polisi kitengo cha Usalama barabarani ,traffic nchini, Muhidini Mohamed (kushoto ) mara baada ya kumaliza zoezi la kukagua magari ya wafanyakazi wa TBL Group katika ofisi zake za Masaki jijini Dar es Salaam ,ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani .Kulia ni Meneja majengo wa kampuni hiyo Daud Luwilla .
Mkaguzi wa magari kutoka makao makuu ya jeshi la Polisi kitengo cha Usalama barabarani , Muhidini Mohamed (kulia) akimwandikia stika ya gari Meneja Masoko wa TBL Group, Fimbo Butalla (wa pili kushoto) wakati wa zoezi la kukagua magari ya wafanyakazi wa kampuni hiyo Masaki jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama .Kushoto ni Meneja majengo wa kampuni hiyo Daud Luwilla .
Meneja Masoko wa TBL Group Fimbo Butalla (kulia) akikaguliwa gari lake na mkaguzi wa magari toka makao makuu ya jeshi la Polisi kitengo cha Usalama barabarani , Muhidini Mohamed (katikati )wakati wa zoezi la kukagua magari ya wafanyakazi wa TBL iliyofanyika Masaki jijini Dar es Salaam ,ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama .Kushoto ni Meneja majengo wa kampuni hiyo Daud Luwilla .
Meneja majengo wa TBL Daud Luwilla (kulia) na afisa Uhusiano na Mawasiliano wa TBL Group Amanda walter , wakimwangalia kwa makini Mkaguzi wa magari toka makao makuu ya jeshi Polisi kitengo cha usalama barabarani nchini, Muhidini Mohamed wakati alipokuwa akikagua magari ya wafanyakazi kampuni hiyo Masaki jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani.
Wafanyakazi wa Tbl Group ,Kutoka kushoto , Meneja majengo wa kampuni hiyo Daud Luwilla na Afisa Uhusiano na Mawasiliano Amanda walter (katikati) wakimuangalia kwa makini Mkaguzi wa magari toka makao makuu ya jeshi la polisi kitengo cha Usalama barabarani ,Muhidini Mohamed wakati alipokuwa akiwaandika stika za magari yao ofisini kwao Masaki jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama
No comments:
Post a Comment