• Breaking News

    Wednesday, 5 October 2016

    TANZANIA KUSHIRIKIANA NA UMOJA WA ULAYA


    b1
    Kamanda wa Kikosi cha Wanamaji ,Rene  Luyckx, akizungumza na Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(kushoto), wakati ujumbe huo  ukiongozwa na Balozi wa Umoja wa  Ulaya, Roeland Van der GeeR(kulia),ulipotembelea wizara hiyo kujadili ushirikano wa kudhibiti uharamia unaofanyika baharini.Mazungumzo hayo yamefanyika  ofisini kwa Naibu Waziri,jijini  Dar es Salaam.
    b2
    Balozi wa Umoja wa  Ulaya, Roeland Van der GeeR(kulia), akizungumza na Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto),wakati wa mazungumzo ya kujadili ushirikiano wa kudhibiti uharamia unaofanyika baharini.Mazungumzo hayo yamefanyika  ofisini kwa Naibu Waziri, jijini Dar es Salaam.
    b3
    Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(kushoto), akizungumza na ujumbe ulioongozwa na Balozi wa Umoja wa Ulaya, Roeland Van der GeeR(kulia), wakati wa mazungumzo ya kujadili ushirikiano wa kudhibiti uharamia unaofanyika baharini.Mazungumzo hayo yamefanyika  ofisini kwa Naibu Waziri, jijini Dar es Salaam.(Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
    IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI.

    No comments:

    Post a Comment