Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita akisisitiza jambo kwa wabunge, madiwani ambao walifanya ziara jana ya kukagua mali za jiji ambapo shamba hilo lenye hekari 5000 limevamiwa na watu wanao sadikiwa kuwa ni viongozi.
Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita akimuelekza jambo Mpima Ardhi wa jiji Benjamini Mwakiganja katika shamba lenye hekari 14 ambapo limevamiwa na muwekezaji wa kiwanda cha Goldn Maini eneo la Bunju jijini hapa.
Meya wa jiji ;la Dar es Salaam Isaya Mwita akiwaeleza jambo wabunge na madiwani ambao walifika katika shamba ambalo limevamiwa na watu katika eneo la Mabwepande jana, ziara hiyo ililkuwa na lengo la kuangalia mali za jiji ambazo zimeporwa.
Mpima Ardhi wa jiji akimuelekeza jambo Meya wa jiji la Dar es Salaam na wabunge,madiwani ambao walifika katika shamba la jiji lililopo eneo la Mabwepande katika ziara ambayo aliifanya jana.
No comments:
Post a Comment