Paketi za pampers zikiwa katika hospitali hiyo LEO.
Mkurugenzi wa Tiba katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Hedwiga Swai akizungumza na waandishi wa habari LEO baada ya kupokea msaada huo LEO.
Mkurugenzi wa Tiba katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Hedwiga Swai LEO akipokea msaada wa paketi 50,000 za pampers kutoka kwa Ofisa Habari wa GSM Foundation, Khalfan Kiwamba (kulia). Msaada huo ni kwa ajili ya watoto waliolazwa kwenye hospitali hiyo na una thamani ya Sh milioni 25,000.
Picha na John Stephen, Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH).
No comments:
Post a Comment