• Breaking News

    Monday, 29 August 2016

    ZANZIBAR: tamasha la vyakula vya asili



    Waziri wa habari , utamaduni na michezo Mhe Rashid Ali Juma akikata utepe wakati akifungua tamasha la vyakula vya asili lililofanyika huko Mkaunduchi tarehe 27/08/16
    Waziri wa habari , utamaduni na michezo Mhe Rashid Ali Juma akiangalia baadhi ya vyakula vya asili vilivyoandaliwa wakati wa Tamasha la vyakula vya asili lililofanyika Makunduchi
    Waziri wa habari , utamaduni na michezo Mhe Rashid Ali Juma akiangalia baadhi ya vyakula vya asili vilivyoandaliwa wakati wa Tamasha la vyakula vya asili lililofanyika Makunduchi. Aina tofauti za vyakula zilioneshwa kama Ugari wa muhogo, mseto , mchuzi wa pweza, wali wa muhindi , wali wa mtama , uji wa uwanga na akdhalika
    Waziri wa habari , utamaduni na michezo Mhe Rashid Ali Juma akionja mojawapo wa vyakula vya asili  uji wa uwanga wakati wa Tamasha la vyakula vya asili lililofanyika Makunduchi jiran i yake ni Mshauri wa Rais katika mambo ya sanaa na utamaduni Mhe Chimbeni Kheri




    Waziri wa habari pamopja na Naibu Spika, MNhe Mgeni Hassan Juma wakionja mojawapo wa vyakula wakati wa Tamasha

    No comments:

    Post a Comment