• Breaking News

    Monday, 29 August 2016

    MCHEZAJI AVUNJIWA MKATABA BAADA YA KUGUNDULIKA ANAMAAMBUKIZI YA HIVMCHEZAJI AVUNJIWA MKATABA BAADA YA KUGUNDULIKA ANAMAAMBUKIZI YA HIV


    nle
    nle
    Zikiwa zimepita siku nne tu tangu asajiliwe na klabu ya Al Ittihad inayoshiki ligi kuu ya Misri, Samuel Nlend, 21, mkataba wake umevunjwa baada ya klabu yake mpya kugundua mchezaji huyo anamaambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU).
    Jarid linalojulikana kwa jina la KingFut.com limeripoti kuwa, afisa habari wa klabu hiyo amethibitisha taarifa hiyo ya kusikitisha kwa vyombo vya habari.Samuel Nlend
    Mshambuliaji huyo ameitumikia Cameroon katika michezo mitano, alifunga goli January kwenye michuano ya mataifa ya Afrika kabla ya kujiunga na Al Ittihad majira ya kiangazi.
    Nlend
    Samuel Nlend alisaini mkataba wa miaka mitatu kuitumikia Al Ittihad tangu tarehe 24 August. Licha ya hayo yote kutokea bado amepata support ya kutosha kutoka kwa klabu yake mpya ya Misri.

    No comments:

    Post a Comment