• Breaking News

    Wednesday, 10 August 2016

    Serikali ya DRC inamzuia mtafiti kufanya kazi yake - ripoti


    Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC, imemzuia mtafiti wa haki za binadamu kuendelea na kazi yake nchini humo, kwa sababu ya kile kundi lake la haki za binadamu linasema ni hatua nyingine ya kukadamiza wale wanaoripoti kuhusu ukiukaji wa haki za binadamu katika kipindi ambacho kuna ongezeko kubwa la ukadamizaji unaotekelezwa na sereikali.
    Shirika la Human Rights Watch lilisema jana Jumanne kuwa serikali ya DRC imefuta hati ya kufanya kazi ya Ida Sawyer, ambaye ni mtafiti mkuu, baada ya hati hiyo kutolewa upya kwa miaka mingine mitatu, mnamo mwezi Mei mwaka huu. Sawyer amefanya kazi DRC tangu mwaka wa 2008

    No comments:

    Post a Comment