Golikipa kutoka JKU Mohammed Abraham Mohammed amesaini mkataba wa kuitumikia klabu ya Simba Sports leo.Golikipa huyo ameingia mkataba wa miaka miwili na timu hiyo kongwe nchini. Mohammed Abraham wakati anasaini Mkataba mbele ya Mwenyekiti wa usajili wa Simba Hans Poppe leo . Read more
No comments:
Post a Comment