• Breaking News

    Sunday, 2 October 2016

    Waziri Nnauye azindua Wiki ya Maonyesho ya Utamaduni wa China Jijini Dar es Salaam

    uye1
    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (katikati nyuma) katika picha ya pamoja na kikundi cha Utamaduni na Sanaa cha Jiangxi wakati wa uzinduzi wa Maonyesho ya Utamaduni wa China leo Jijini Dar es Salaam. Watatu kushoto nyuma ni Kaimu Balozi wa China nchini Tanzania Bw. GOU Haodong.
    uye3
    Washiriki wa Maonyesho ya wiki ya Utamaduni wa China kutoka Chama cha Mchezo wa WUSHU Tanzania katika picha ya pamoja wakati wa uzinduzi wa Maonyesho ya Utamaduni wa China leo Jijini Dar es Salaam.

    No comments:

    Post a Comment