Muelimishaji kutoka Kitengo cha Huduma na Elimu ya Mlipa Kodi Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Gabriel Mwangosi akielezea jambo wakati wa semina na wanachama wa Chama cha Wasafirishaji wa mizigo mikoani (UWAMI) leo Jijini Dar es Salaam.
Muelimishaji kutoka Kitengo cha Huduma na Elimu ya Mlipa Kodi Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bibi. Valentina Baltazar fafanua jambo wakati wa semina na wanachama wa Chama cha Wasafirishaji wa mizigo mikoani (UWAMI) leo Jijini Dar es Salaam.
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha wasafirishaji wa mizigo mikoani (UWAMI), ambaye pia ni mwakilishi wa Kampuni ya Bob Transpoter, Bw. Ally Luwago akifafanua jambo wakati wa semina kuhusu elimu ya mlipa Kodi iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) leo Jijini Dar es Salaam.
Muelimishaji kutoka Kitengo cha Huduma na Elimu ya Mlipa Kodi Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Gabriel Mwangosi akionyesha nakala ya namba ya mlipa kodi (TIN) iliyofanyiwa maboresho wakati wa semina na wanachama wa Chama cha Wasafirishaji wa mizigo mikoani (UWAMI) leo Jijini Dar es Salaam.
Mmoja wa wanachama wa chama cha usafirishaji mizigo mikoani (UWAMI) aliyefahamika kwa jina moja la David, akichangia mada wakati wa semina kuhusu elimu ya mlipa Kodi iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) leo Jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment