• Breaking News

    Wednesday, 5 October 2016

    Taasisi za umma zatakiwa kuhuisha taarifa


    hass1
    Mkurugenzi wa Idara ya Habari, MAELEZO Bw. Hassan Abbas akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu taasisi za Serikali kutekeleza agizo la kuhuisha taarifa na huduma katika Tovuti zao mapema kabla ya mwisho wa mwezi huu katika mkutano uliofanyika Ofisi za Wakala ya Serikali Mtandao (EGA) leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Meneja wa Habari, Elimu na Mawasiliano wa Wakala ya Serikali Mtandao Bibi. Susan Mshakangoto.
    hass2
    Meneja wa Habari, Elimu na Mawasiliano wa Wakala ya Serikali Mtandao Bibi. Susan Mshakangoto akifafanua jambo kwa waandishi wa habari wakati wa mkutano na waandishi hao leo jijini Dar es Salaam, kuhusu taasisi za umma kuhuisha taarifa katika Tovuti zao. Kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari, MAELEZO Bw. Hassan Abbas.
    hass3
    Mkurugenzi wa Idara ya Habari, MAELEZO Bw. Hassan Abbas akiwaonyesha waandishi wa habari mwongozo wa utengenezaji wa Tovuti za Serikali wakati wa mkutano wake na waandishi hao leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Meneja wa Habari, Elimu na Mawasiliano wa Wakala ya Serikali Mtandao Bibi. Susan Mshakangoto.
    hass4
    Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia mkutano wao na Mkurugenzi wa Idara ya Habari, MAELEZO Bw. Hassan Abbas na Meneja wa Habari, Elimu na Mawasiliano wa Wakala wa Serikali Mtandao (EGA) Bibi. Suzan Mshakangoto (hawapo pichani). Mkutano huo ulihusu kuzikumbusha Taasisi za umma kuhuisha taarifa katika Tovuti zao leo Jijini Dar es Salaam.
    hass5
    Mkurugenzi wa Idara ya Habari, MAELEZO Bw. Hassan Abbas akielezea namna ambazo mitandao ya kijamii inavyo tumika kurahisisha kufikisha taarifa za Serikali kwa jamii na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu taasisi za umma  leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Meneja wa Habari, Elimu na Mawasiliano wa Wakala ya Serikali Mtandao, Bibi. Susan Mshakangoto. Mkurugenzi huyo alitolea mfano wa akaunti ya Tweeter ya,  Msemaji wa Serikali@ TZ_Msemaji Mkuu. Mwananchi anaweza kuifuata akaunti hiyo kwa kutafuta “Msemaji Mkuu wa Serikali on Twitter”.

    No comments:

    Post a Comment