• Breaking News

    Tuesday, 4 October 2016

    RC SHIGELLA AFUNGUA KIKAO CHA PILI CHA BODI


    shige
    Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella akifungua kikao cha pili cha bodi ya barabara kilichofanyika leo kwenye ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga

    Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella wa pili kutoka kulia akifuatilia makabrasha ya kikao cha bodi ya barabara leo kushoto ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi Zena Saidi,kulia ni Mbunge wa Jimbo la Mlalo(CCM)Rashid Shangazi,Mbunge wa Jimbo la Muheza (CCM)Adadi Rajabu
    Meneja wa Wakala wa Barabara nchini Tanroad Mkoani Tanga,Mhandisi Alfred Ndumbaro akiwasilisha taarifa ya mpango wa barabara kwenye kikao hicho
    Mkuu wa wilaya ya Handeni,Godwin Gondwe kushoto akibadilishana mawazo na Mbunge wa Jimbo la Handeni,Omari Kigoda kabla ya kuanza kikao cha pili cha bodi ya barabara
    Mbunge wa Korogwe Vijijini (CCM) kulia akiteta jambo na Mhandisi wa Ujenzi wa Halmashauri ya Korogwe,Daudi Gao kabla ya kuanza kikao cha bodi ya barabara picha ya kwanza ni Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini (CCM)Marry Chatanda akiteta jambo na Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM) Jumaa Aweso
     Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM)Stephen Ngonyani alimaarufu Maji Marefu kulia akiteta jambo wakati wa kikao hicho kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini
    Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM)Jumaa Aweso akiteta jambo na Mkuu wa wilaya hiyo,Zainabu Issa wakati wa kikao hicho

     Meneja wa Wakala wa Barabara nchini Tanroad Mkoani Tanga,Mhandisi Alfred Ndumbaro akifuatilia kwa umakini  jambo katika kikao cha bodi ya barabara leo
    Mbunge wa Jimbo la Handeni Mjini,(CCM)Omari Kigoda kushoto akiteta jambo na Mkuu wa wilaya ya Handeni,Godwin Gondwe wakati wa kikao cha pili cha bodi ya barabara

    wa kwanza kulia ni Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini,(CCM)Stephen Ngonyani alimaarufu Maji Marefu akipitia maelezo ya makabrasha ya kikao cha bodi ya barabara aliyesimama kulia ni Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM),Shabani Shekilindi kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Korogwe mji(CCM)Marry Chatanda na anayefuata ni Mbunge wa Jimbo la Mkinga(CCM)Dastan Kitandula

    Wajumbe wa Kikao cha Pili cha Bodi ya Barabara kulia ni Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa,Mkuu wa wilaya ya Pangani,Zainabu Abdalla Issa naMbunge wa Jimbo la Pangani (CCM) Jumaa Aweso
    Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Mussa Mbaruku katikati akisikiliza kwa umakini hotuba ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella wakati akifungua kikao cha pili cha bodi ya barabara
    Mbunge wa Jimbo la Kilindi (CCM) Omari Kigua akipitia maelezo kwenye kabrasha kabla ya kuanza kikao cha bodi ya barabara
    Mkuu wa wilaya ya Muheza,Mhandisi Mwanasha Tumbo kulia kushoto ni Mkuu
    wa wilaya ya Kilindi wakifuatilia kwa umakini kikao cha bodi ya pili cha
    barabara leo

    No comments:

    Post a Comment