Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua mitambo ya maji ya DUWASA inayotoa maji yanayosambazwa katika Manispaa ya Dodoma wakati alipotembelea chanzo cha maji cha Mzakwe Dodoma Oktoba 2, 2016.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua mitambo ya maji ya DUWASA inayotoa maji yanayosambazwa katika Manispaa ya Dodoma wakati alipotembelea chanzo cha maji cha Mzakwe Dodoma Oktoba 2, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa TANESCO wa mkoa wa Dodoma, Mhandisi Zakayo Temu (katikati) wakati alipotembelea Kituo cha Umeme cha TANESCO cha Dodoma Oktoba 2, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea taarifa kutoka kwa Meneja wa TANESCO wa Mkoa wa Dodoma, Mhandisi Zakayo Temu (kushoto) kuhusu hali ya upatikanaji wa umeme kwenye makao makuu ya nchi Dodoma wakati alipotembelea Kituo cha Umeme cha TANESCO cha Dodoma Oktoba 2, 2016. Wengine Pichani kutoka kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama, Mkuu wa mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma , Christina Mndeme.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment