SHIRIKA LA SHINA INC limendelea kutoa misaada Shirika hilo leo lilifanikiwa kufika katika mkoa wa mwanza wilayani ilemela kijiji cha kahama Mwanzilishi wa shirika hilo alituamia nafasi hiyo kuwasihi wana kijiji kua na umoja kipindi cha ibada ya jumapili .
Baada ya hapo mwanzilishi alionyeshwa madarasa yanayo tarajiwa kufunguliwa karibuni .Madarasa hayo yamejengwa kwa pesa ulio tolewa na shirika la shina inc kwa ajili ya kuendeleza elimu kwa watoto wa kijiji hicho bila ya kubagua dini wa kabila.Pia mwenyekiti wa Shina inc alishukuru serikali ya awamu ya tano kupitia Raisi Wa Jamuhuri ya mungano wa tanzania. Shukrani hizo alizitoa kupitia mwakili wa serikali za mita. Pia mlezi wa wa shirika hilo alichukua fursa hiyo kuiomba serikali unga mkono katiaka kampeni ya shirika hilo katika ugawaji wa Mashuka ya kisasa ya kujikinga na malaria na magojwa
yatokanayo na wadudu
Shuka hizo zilizinduliwa wiki ilio pita jiji dar es salaam zimelezwa kua shuka hizi zina uwezo mkubwa wa kukulinda na maradhi madogo madogo .Pia yanaleta baridi kipindi cha joto na kipindi cha joto yanaleta baridi mliliki fafanua zaidi kua shirika la shina kwa kusema kua shuka hizo zina uwezo mkubwa hata kipindi cha mvua ukijifunika urowi pia alieleza kua kama wangekua wanauza thamani yake ingekua laki moja
No comments:
Post a Comment