Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega akiwa amebeba tofali alilofyatua kwa mkono wake akipeleka sehemu ya kuhifadhi ili likaushwe na jua katika kijiji cha Tundu panapotarajiwa kujengwa Zahanati ya Tundu leo katika ziara yake kukagua maendeleo ya Wilaya hiyo.
Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega akishiriki katika ufyatuaji wa tofali kwa ajili ya zahanati mpya itakayojengwa katika kijiji cha Tundu leo ikiwa ni sehemu ya ziara yake kukagua maendeleo wilaya hiyo.
Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega akizungumza na wananchi wa Kiiiji cha Maamudi Mpela leo katika ziara yake kutembelea wananchi pamoja na kuwashukuru pamoja na kuwasikiliza kero zao leo mkoani Pwani
No comments:
Post a Comment