• Breaking News

    Monday, 3 October 2016

    MAKAMO WA RAIS WA CUBA AKUATANA NA DK.SHEIN


    cb1
    cb2
    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Cuba Salvador Antonio Valdes Mesa mara alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo jioni akiwa katika ziara ya siku mbili na ujumbe aliofuatana nao,[Picha na Ikulu.]03/10/2016.
    cb3
    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Cuba Salvador Antonio Valdes Mesa (wa tatu kulia) mara alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo jioni akiwa katika ziara ya siku mbili na ujumbe wake,[Picha na Ikulu.] 03/10/2016.
    cb4
    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Cuba Salvador Antonio Valdes Mesa (kushoto) mara alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo jioni akiwa Nchini kwa ziara ya siku mbili na  ujumbe wake,[Picha na Ikulu.] 03/10/2016.
    cb5
    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na mgeni wake  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Cuba Salvador Antonio Valdes Mesa baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo jioni akiwa katika ziara ya siku mbili pamoja na ujumbe wake,[Picha na Ikulu.] 03/10/2016.
    cb10
    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiagana   na mgeni wake  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Cuba Salvador Antonio Valdes Mesa baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo jioni akiwa katika ziara ya siku mbili pamoja na ujumbe wake

    No comments:

    Post a Comment