• Breaking News

    Tuesday, 4 October 2016

    MAJALIWA APOKEA MISAADA ZAIDI YA WAATHIRIKA WA TETEMEKO MJINI DODOMA

    missa2
    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea msaada wa Shilingi milioni 5 kutoka kwa mfanyabaiashara wa mjini Dodoma, Thaker Singh Ofisini kwake mjini Dodoma Oktoba 4, 2016 kwa ajili ya waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera. (picha na ofisi yaWaziri Mkuu)

    No comments:

    Post a Comment