• Breaking News

    Monday, 3 October 2016

    Maadhimisho ya siku ya makazi duniani

    Katika kuhakikisha jiji la Dar es salaam linakuwa moja Kati ya Majiji ya kimataifa serikali kupitia wizara ya ardhi nyumba na maendeleo ya Makazi nchini,amezitaka mamlaka za upangaji Miji  kuhakikisha zinaweka miundombinu sambamba na huduma za Jamii katika maeneo yaliyo rasimishwa.
    Akizungumza katika siku yaMaadhimisho ya siku ya makazi ya kimataifa waziri wa ardhi nyumba na maendeleo ya makazi

    PICHA AHMED KOMBO

     wiliamu Lukuvi amesema upangaji wa maeneo hayo yanaendana na kaulimbiu ya nyumba ni kitovu cha miji ambapo amebainisha kuwa ilimiji Iweze kukua kwa ufanisi lazima suala la nyumba bora lipewe kipaumbele. 


    PICHA NA AHMED KOMBO

    Kwa upande wa Lydia Bagenda ambaye ni mratibu wa mradi wa urasimishaji ardhi amewataka wakazi wa kata ya kimara kutenga maeneo ya miundombinu ikiwemo barabara ili kuweza kurahisisha zoezi la upimaji ardhi

    PICHA NA AHMED KOMBO

    Aidha katika hatua nyingine waziri Lukuvi amesema kuwa katika karne ya 21 nchi zinazoendelea ikiwemo Tanzania zimekuwazikikabiliwa na kasi la ongezeko la watu kuamia mijini bila kuwepo na uwiyano sawa wa nyumba bora

     PICHA NA AHMED KOMBO.
    Nao kazi wa kata ya kimara ambao wamefikiwa na mradi wa urasimishaji ardhi wameipongeza serikali ya awamu ya tano kwa kuanzisha mradi huo 
    PICHA AHMED KOMBO.wananchi kimara..

    No comments:

    Post a Comment