• Breaking News

    Saturday, 3 September 2016

    RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI AWASILI DEMOKRASIA KIBANDAMAITI ZANZIBAR, KUHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA MUDA MFUPI UJAO.

    zi1
     Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye mkutano wa hadhara unaofanyika katika Uwanja wa Demokrasia wa Kibandamaiti mjini Zanzibar. Mkutano huu unahudhuriwa pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein. Matangazo haya yanarushwa moja kwa moja (Live) na Azam Tv na ZBC.
    zi2
    Baadhi ya viongozi mblimbali wakiwa katika mkutano huo mchana huu.
    zi3
    Umati wa wananchi waliohudhuria katika mkutano huo.
    zi4
    Baadhi ya viongozi wa chama cha mapinduzi wakiwa katika mkutano huo.

    No comments:

    Post a Comment