• Breaking News

    Friday, 30 September 2016

    MH. GADRIEL DAQARRO AZINDUA UTAFITI WA SAUTI ZA VIJANA JIJINI ARUSHA ULIOFANYWA NA BRITISH COUNCIL

    daq1
    Mkuu
    wa wilaya ya Arusha,Mh.Gabriel Daqarro akizindua kitabu cha utafiti wa
    Sauti ya Kijana nchini Tanzania uliofanywa na taasisi ya British Council
    kupitia ufadhili wa Shirika la misaada la serikali ya Uingereza  la
    DFID kuwezesha sauti za vijana kuwafikia watunga sera na watoa maamuzi
    nchini,kulia ni Meneja Mradi wa British Council Tanzania,Elizabeth
    Nkanda.

    Mkuu
    wa wilaya ya Arusha,Mh.Gabriel Daqarro akizindua kitabu cha utafiti wa
    Sauti ya Kijana nchini Tanzania uliofanywa na taasisi ya British Council
    kupitia ufadhili wa Shirika la misaada la serikali ya Uingereza  la
    DFID kuwezesha sauti za vijana kuwafikia watunga sera na watoa maamuzi
    nchini.

    Mtaalamu wa sera za ufugaji, Carolyn Kandusi akiongoza shughuli nzima iliyofanyika jijini Arusha.

    Mkurugenzi wa Miradi wa taasisi ya British Council Tanzania,Nesia Mahenge akizungumza katika kongamano la Vijana.

    Vijana
    kutoka taasisi mbalimbali na vyuo Vikuu katika mkoa wa Arusha na
    Kilimanjaro wakifatilia kwa makini namna ya kutumia fursa mbalimbali
    kujiajiri na kuanzisha miradi wakati wa uzinduzi huo.

    Mtaalamu
    wa masuala ya Mitaji,Baraka Megiroo akiwapa mbinu vijana wenzake namna
    ya kutumia fursa zinazojitokeza kujikwamua kiuchumi.
     
    Mtaalamu
    wa masuala ya kijamii,Hadija Hassan akizungumza na vijana umuhimu wa
    kujiamini na kuzikabili changamoto mbalimbali,kushoto ni Mtaalamu
    mwenzake Gladys Mmari na Mary Bird
    Vijana
    kutoka taasisi mbalimbali na vyuo Vikuu katika mkoa wa Arusha na
    Kilimanjaro wakifatilia kwa makini namna ya kutumia fursa mbalimbali
    kujiajiri na kuanzisha miradi wakati wa uzinduzi huo

    No comments:

    Post a Comment