• Breaking News

    Friday, 30 September 2016

    DC MWILAPWA AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA MAJ

    Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa),Haika Ndalama akzingumza wakati wa kikao hicho cha wadau
    Wananchi wa Jiji la Tanga wakiongozwa na madiwani wao waki fuatilia kikao hicho kwa umakini mkubwa katikati ni Naibu Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga ,Mohamed Haniu
    Mstahiki
    Meya wa Jiji la Tanga,Mustapha Selebosi akiuliza swali kwenye mkutanohuo uliofanyika kwenye ukumbi wa Chuo cha Veta mjini hapa

    Diwani wa Kata ya Msambweni (CUF)Abdurahamani Hassani akiuliza swali kwenye mkutano huo
    Afisa Uhusiano wa Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga
    (Tanga Uwasa)Dorah Ilo kulia aakiteta jambo na Afisa Tarafa Suleimani
    Zumo wakati wa kikao hicho cha wadau
    Afisa Uhusiano wa Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa)Dorah Ilo akifuatilia hoja mbalimbali zilizokuwa zikijiri kwenye kikao hicho 
    Kushoto ni Maafisa wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini na wananachi wakifuatilia kikao hicho wa kwanza kushoto ni Meneja wa Huduma kwa Mteja wa Mamlaka hiyo,Mohamed Pima 

    Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa akisaliana na Afisa Tarafa,Suleiman Zumo kabla ya kufungua mkutano huo katikati ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi Zena Saidi

    Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa kushoto akisalimiana na Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga (CCM)Mustapa Selabosi kabla ya kuanza kikao hicho katikati ni Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (Tanga Uwasa)Haika Ndalama
    Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa kushoto akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kufungua kikao hicho

    No comments:

    Post a Comment