Mtaalamu wa Mazingira kutoka Idara ya Mazingira Pemba, Abuu Jafar, akitowa maelezo kwa mkuu wa Wilaya ya Chake Chake, Salama Mbarouk Khatib, na Kamati ya ulinzi ya Usalama ya Wilaya hiyo juu ya mtaro huo unavyotakiwa usafishwe
Mtaalamu wa Mazingira kutoka Idara ya Mazingira Pemba, Abuu Jafar, akitowa maelezo kwa mkuu wa Wilaya ya Chake Chake , Salama Mbarouk Khatib, na Kamati ya ulinzi ya Usalama ya Wilaya hiyo juu ya mtaro huo unavyotakiwa usafishwe
Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake , Salama Mbarouk Khatib, na Kamati ya ulinzi ya Usalama ya Wilaya hiyo wakiangalia eneo la mtaro linalohitajika kusafishwa Maji machafu ambayo hayana udhibiti , yanayotoka katika maeneo ya makaazi ya Wananchi wa Kichungwani na kutiririka hadi kwenye mtaro mkuu , jambo ambalo linaweza kuleta athari ya kiafya hapo baadae.
No comments:
Post a Comment