Mkuu wa Wakurugenzi wa Kampuni ya Alarko kutoka nchini Uturuki Bw. Izzet Garih (wa kwanza kushoto) akizungumzia kuhusu ushirikiano baina ya kampuni hiyo na sekta ya mawasiliano, na (wa kwanza kulia) ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano anayesimamia sekta ya Mawasiliano Prof. Faustin Kamuzora.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) Dkt. Kamugisha Kazaura akizungumza wakati wa kikao cha Ushirikiano baina Sekta ya Mawasiliano na Kampuni ya Alarko.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano anayesimamia sekta ya Mawasiliano Prof. Faustin Kamuzora akiwa katika picha ya pamoja na Wakurugenzi wa Kampuni ya Alarko kutoka nchini Uturuki Bw. Izzet Garih
No comments:
Post a Comment