Na Assenga Oscar,Tanga.
Kaimu Mkurugenzi wa Bodi ya Ligi ya Vodacom ,Fatuma Abdallah akimkabidhi hundi ya shilingi milioni moja mchezaji wa Coastal Union,Godfrey Wambura baada ya kuibuka mchezaji bora wa mwezi wa pili mwaka huu,kulia ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF,Khalid Abdallah na kushoto Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Coastal Union,Salim Bawaziri jana.
Monday, 4 May 2015
Kitaifa
Godfrey Wambura wa Coastal Union akabidhiwa Tuzo ya Uchezaji Bora.
Kitaifa
No comments:
Post a Comment